
Building in Kenya taught me something. Suddenly kila mtu ashaanza kuwa financial advisor wa kitchen 😂
Unaanza kuskia vitu kama:
“Leo tusibuy, tupike.”
Ama:
“Iyo leftover bado inaweza survive kesho btw…” 😭
Ata mtu alikuwa anaorder kila siku suddenly anakuwa:
“Kupika home ni healthier anyway.” 😂
Na hii economy imefika point ya kufungua fridge sio kutafuta food…
Ni kufanya financial analysis kwanza 😭
mayai ziko ✔️
unga iko kiasi ✔️
mafuta imebaki kidogo 😭
nyanya? 😭😭 kwani ni shares za Safaricom sasa?
Then unakaa hapo ukifanya calculations kama accountant:
Ata cravings nowadays lazima zipitie approval ya wallet kwanza 😭
Ama ni mimi tu niko hii committee?