u/Repulsive-Match-4222

Life imekuwa side quest na sijui main mission iko wapi

So leo nimeamka nikafeel kama niko ndani ya mchezo but sijui objective ni gani. Like unafanya vitu daily—unaamka, unaenda hustle, unarudi, unascroll, unalala… then repeat. Lakini ndani deep unajiuliza, “hii ndio ilikuwa plan kweli?”

Juzi nilikuwa kwa mat nikaskia watu wawili wakidebate kuhusu life—mmoja anasema pesa ndio kila kitu, mwingine anasema peace of mind ndio muhimu. Mimi niko hapo katikati nashangaa, bro mimi nataka zote mbili 😭

Na vile adulting huja na surprise attacks… bills zinatokea tu kama enemies kwa game. Hakuna warning. Hakuna tutorial. Just vibes and pressure.

Alafu kuna ile moment unacheki watu wako same age wako mbali sana life… mwingine ako abroad, mwingine ameanza biashara, mwingine amepata mtoto… wewe bado unadebate kama u-buy lunch ama ushinde na hunger kidogo u-save 200 bob.

Lakini kusema ukweli, maybe hakuna mtu anajua what they’re doing. Maybe sote tuna freestyle hii life. Some just look more confident doing it.

Anyway, kama uko hapo feeling lost kidogo, uko sawa. At least uko trying. Na hiyo yenyewe ni progress.

Sasa wacha nirudi kwa side quest zangu

reddit.com
u/Repulsive-Match-4222 — 8 hours ago
▲ 1 r/KeMusic+1 crossposts

Man U vs Chelsea: Moto wa EPL – Pressure, Pride na Vibes za Big Clubs

The energy around the clash between Manchester United and Chelsea FC ilikuwa something else — si mchezo bana.

This is not just a game, it’s history, pride, na vibes za big club pressure. From the first whistle, United walikuwa wanajaribu kushow dominance, wakipush ball mbele haraka, lakini Chelsea nao hawakuja kucheza. Walikuwa compact, wakicheza possession game safi, wakiswitch play kama watu wameiva.

First half ilikuwa tight sana. Chances zilikuja lakini finishing ilikuwa shaky kidogo. United fans walikuwa kama “ongeza tempo bana!” while Chelsea fans walikuwa calm tu wakisema “trust the process.”

Second half ndio game ilianza kuwaka. Tackles zikaongezeka, pace ikapanda, na kila mtu akaanza kuona hii ni do-or-die. United wakajaribu kutumia wings, crosses zikiingia box, lakini defense ya Chelsea ilikuwa solid kama ukuta ya mabati.

Chelsea nao wakacounter haraka one-two passes, movement iko sharp. Unaona kabisa hii si mchezo ya kawaida, ni ile ya kusema “who wants it more?”

reddit.com
▲ 1 r/studentjobs+1 crossposts

You are not introvert you fear people

Sasa Kama unajua baba yako kitu ya kwanza alikuambia ufanye after kumaliza form 4 ni computer studies,wewe you have no business being an introvert. Wewe ni mtoto wa wa ukoo wa upoloi,your ancestry is of peasants. Na lazima ujitume, whether you like it or not,you must put yourself outthere maximumly. Otherwise you will see of cutting trees. Ni lazima ujichukulie ile tunaita maposition. Na lazima ujiaminie,ata kama hujui nini inaendelea

There is no time to be shy buana. Na kwanza ujue ukifika 30 hakunanga cha introvert ama extrovert. You are simply a grown up. Hiyo mambo ya introvert ni utoto unawachianga watoto ya unifasti . Sasa wewe endelea kujifungia kwa nyumba ukijiita introvert wenzako wakiweka mitego town,ukijiambia hupendi kuongea na watu. Buana we will burry you in a bedsheet like a Mutina. Utafika 50 years unakaa murima women,yani huna mbele wala nyuma.

Introvert is for the previledged buana. Hawa wenye walikua na tablet wakiwa class 4,nyinyi mkicheza bano. Ondiek wewe apana introvert,ni uzembe inakusumbua. Amka ukaongeleshe watu! Failure!

reddit.com
▲ 2 r/Kenya

Living in a Polygamous Family with Toxic Co-Wife Where Do You Draw the Line?

My father has two wives , huyo mkubwa huwa amejaa ngori na sisi mbaya sana .

Kuna time alikuja hadi kwetu kwa nyumba ya mum yenye amejenga na pesa yake kumthreaten vile atampeleka kwa grave. Mum alikuwa na opportunity ya kukapiga lakini alimskiza akatulia huyo mama akaropokwa akarudi kwake . Kitu alimwambia ni "funga huyo bwana na kamba asikuje hapa ju sijai muita" .

Kuna time tulikuwa tunaamka tunapata nje mayai iko na damu tunachoma tunatupa.

Sazingine ni worms kubwa kubwa zinatembea kwa compound tukafanya ritual zikaisha.

Kuna time nyumba ilijaa wale wadudu wa kuku hutembea kwa maskio na hatukuwa na kuku.

Kuna time owl alikuwa anakuja kwa mabati tukaomba akaenda .

Mum amefanyiwa surgery nne na bado Mungu anamusaidia.

Hizi zote huwa naona ni huyu mama analeta buana ju ametembea hadi kwa waganga wa Tz lakini sisi hatujamuekea ju tunajua ilikuwa decision ya mazae na Karma will pay for us siku moja.

reddit.com