u/Careless_Football229

Nimemanage kufungua kakitu hapa Langata, past T mall. A new cocktail spot, inaitwa sip and vibe😊. Lazima tuendelee, ukipata kitu mzuri kwa kazi fungua biashara. Usiunderrate reddit, na mjifunze kuchapa kazi bila kuoshana. Si kila saa pesa unapata unaenda kufurahisha watu. Huwa nainsist tunafaa kujifunza financial security 🚀. Sharp boys fanya short course ya financial literacy kama hukufanya course ya finance. Inasaidia sana.

u/Careless_Football229 — 12 days ago