u/Not_diddy

Traffic wanalazimisha ulipe deni la parking!

Habari zenu wakuu. Nina deni la 11,500. Hawa watu wa parking na Askari wa traffic wanalazimisha mtu ulipe deni hapo hapo hata kama gari ni la kampuni? Kila ukitoka lazima wakusumbue. I would understand Kama mtu anadaiwa elf 50 au laki, lakini sio hela ndogo ambayo accountant wa kampuni ana clear kila mwisho wa mwezi.

Wenye magari binafsi mnapitia haya mateso?

reddit.com
u/Not_diddy — 7 hours ago

Has anyone successfully linked PayPal with Mpesa? Does it work for you?

As you all know, Mpesa now has an option to link your PayPal account. I’m curious to know if people in here have tried it.

reddit.com
u/Not_diddy — 15 hours ago