Ebu kaa chini kidogo 😅
So November last year, I proposed to my girlfriend, tumekuwa pamoja for 5 years. We even lived together for 4 of those years before she got a job in another city. During all that time, hatujawai kuwa na issues za cheating.
Sasa recently, I stumbled across an audio note alikuwa ametumia best friend yake. From the convo, it sounded like she was actually considering having some kind of thing with a married guy. Apparently this guy approached her and even offered her pesa if she’d sleep with him.
Nilimconfront, akasema ilikuwa tu normal girl talk—ati alikuwa anasimulia bestie kuhusu some random guy alimhit. Lakini kwa hiyo audio, you can clearly hear she’s not just brushing it off… alikuwa anaconsider kidogo.
Sasa hapo ndio najiuliza—ama nimepea mtu ring alafu niko hapa nachezwa? 😅 Ama I’m overthinking?
To make things weirder, juzi after hii story, ameanguka mgonjwa—coughing kila mahali. Mimi sasa nangoja apone ndio nimalize hii maneno juu hii situation haisound poa.
Niko na overreaction ama hii ni red flag kubwa vile inaonekana?