
LETA KAZi
Nilikuwa ntaks kulala hady saa sita niamke kama nimekula lunch so imekuwa ngumu. Me sitaki kuomba za cabbage juu sina ulcers mnipee gig ya 150 please n😩🙏

Nilikuwa ntaks kulala hady saa sita niamke kama nimekula lunch so imekuwa ngumu. Me sitaki kuomba za cabbage juu sina ulcers mnipee gig ya 150 please n😩🙏
Mimi naye najuanga tu i will be great oneday. I always feel it in my blood. Ata si mambo na kukuwa delusional and sijui manifesting. I just know i will be great, its just that the right time bado haijafika. Sai mimi ni bitcoin 2009
Nimeteseka hady jana nimefungua YouTube channel, Already niko na 5 subscribers
Nimefanya mjengo, nikachimba mitaro choo, nimefanya kazi pool Nimefanya forex, nimeenda church kutolewa mapepo, dem wangu alidinywa nikajitoa, Sina mzazi, DCI pia wananitafuta. Sina job kazi elon aliburn account zangu tatu verified Alafu pia mnataka kuniosha Tinder na ndo nimekinda rent ya nex tmonth
So hakuna msee anadai kunichanua hapa kabisaa? Nitakuwa nauliziia daily hady December ikishindikana me najitoa
Majamaa nadai msee nalean on naye, walai like sahii hamna shit inago through Uradi ilikuwa x elon ameanua account zangu zote Nimeamia huku hopes nitapata, msee anichanue