Mnishow nitatoa wapi gigz za mapesa kwa mara ya mwisho ama niuze simu😂💔 upvote please 🥺
u/Interesting-Taro2028 — 4 days ago
Mtu akanipea kazi alafu akaniambia nidownload hii app ati akaweka doo sasa ndio anipee code ya IMF nimlipe 45$ nimemwambia areverse tu
Nimejaribu kusave izi coins nalipwa na gigs za Reddit .......nikaona hazitawai jaa nikatoa nikabuy sapa nazo......tutaishi ivi kweli wajameni😂💔mnipatie gigs zikona 100$ basi