u/Dear_Feedback5893

Kuna jamaa fulani anataka kuniuzia Outlier ya South Africa 4k, nauliza ni hio bei kweli ama naoshwa ndugu . Alafu nafanya nini ndo account isifungwe . Na mtu ukitaka tasker nitext

reddit.com
u/Dear_Feedback5893 — 16 days ago