are you sharp or blunt?
I want to share something that imekuwa ikinisumbua sana kuhusu this motive of being sharp and i have come to a realization mbona huku wasee bado wanateseka even though this community ikona over 20k "sharp boys and girls" na shida ni ati kila msee anagatekeep utapata msee anajua mahali kuna maziwa lakini haezi sema hata haezipost hapa atleast kila mtu asaidike and that's the lroblem UNITY if wasee kumi washare idea inatoa hata 100 singaporian dollars hiyo kila msee hapa atakuwa na thao imagine daily 10 people are sharing that means utakuwa na 1000 daily in a month utakuwa na 30,000 na saa hiyo unashinda kejani so me naona we should unite and let's share the opportunities zenye ziko the cake is big for all of us