▲ 2 r/Kisumu
Nyamasaria rentals
Vipi wakuu, mtu akiwa na kazi na ofisi iko based Nyamasaria wapi anaweza ishi hiyo area? Cost ya nyumba ni vipi? Shida za maji? Kuna Safaricom Fiber?
Thanks.
u/Bekinson — 1 day ago