u/Apprehensive_Rub768

Few days ago nilibuy an account from one guy hapa, I’ll attach the screenshots hapo chini. Quickly bumped up the karma to around 2k in 2 days and started doing some tasks on it. Now This low IQ inbred just decided to recover the account and I’m now stuck.

Tutawahi toka block kweli Kama hii ndo tabia iko hapa, just to remind you never transact with anyone kwa hii group. To you who stole the account how does it feel that I was able to do what you failed to do in a whole year in two days?

reddit.com
u/Apprehensive_Rub768 — 11 days ago

Nataka niwaambie kwa Kiswahili, guys mnachoma Wallahi. Sometimes I get why huwa tunafukuzwa from online platforms. Kuna a few individuals wanakuja kuanika hizo links za gigs hapa (I’m talking about hizi Reddit gigs), please tuwacheni.

Once umepost hiyo link hapa publicly, Reddit wataenda na hiyo site na tutakosa kichele sisi wote. Wenye hizo platforms wamekasirika sana na this specific sub juu ya hao wasee wanapost links hapa.

Ukipost kuhusu hizo gigs pea mtu link pale inboxi tafadhali, tunachoooooooooma!!!

reddit.com
u/Apprehensive_Rub768 — 15 days ago