u/Additional-Angle41

▲ 41 r/nairobi

Kachumbari self service is a scam

nimeenda base mpya mutura nikakuta kachumbari ni self service nikafurahia Mbaya sana,nikamua wacha ninunue mutura ya 70 bob . After kukatakatiwa nikamua kubaptise hio mutura na kachumbari kumbe sikujua Ile pilipili imejaa hapo huwezi meza ndio maana imewekwa self service. Wueeh nakuambia nimekula hio kachumbari nikilia . Wueeh alafu siku kama hii ndio hupatangi wale wasee wakuomba mutura nakwambia nimengangana nayo , nimepanda nyumbani nikilia na makamasi ikitiririka kama mfereji ya kanjo . Nikisdhani siku haiwezi kuwa Mbaya zaidi nakutana na crushie ya mine nikaskia kusneeze sema makamasi kutoka Kwa mapua kuliko pressure ya mrija after dry spell na kumake it worse nilisahau kubeba handkerchief.

reddit.com
u/Additional-Angle41 — 5 days ago
▲ 27 r/254sum